Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT 2 TU ZA JUU NYUMBA NZURI SANA
LAKI 700000X6 caution money LAKI2
INA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LINAKUA NA MAKABATI YA JUU PIA PUBLIC TOILET YA NDANI
FULL AC
KUND2 =VYUMBA2 VA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PIA PUBLIC TOILET
IPO BEI LAKI 600000X6 COUTION MONEY 200K
KALIBU MTEJA ZINAPANGISHWA KWA BEI POA ZOTE IZO UNAJITEGEMEA UMEME MITA YAKO MAJI MITA YAKO
IZI NYUMBA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KM 1 TU UPO NDANI
USAFIRI MWINGI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO UKISHUKA TU
UNAPIGA TEKE MLANGO UNAINGIA NDANI
SERVICE CHARGE 15000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA ZIPO NDANI YA FES CHINI MAFUNDI WANAENDELEA NA KAZI
WANAWEKA PEVINGI
#0710614924