Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Lugalo, Iringa


Nyumba inapangishwa kwa matumizi ya ofisi tu
Iko karibu na Viwanja vya Lugalo golf club au ( ovacado)
* Ina room 3
* jiko
* riseption
* nyumba ndogo ya nje room 1 store na choo
* parking ya kutosha
BEI. DOLLAR 1200 top 1000 kwa mwezi
Ziko 2 kwenye eneo moja
More details. 👉🏿 0789768988