Nyumba/Apartment inapangishwa Lugalo, Iringa


NEW APARTMENT FOR RENT 🔥🔥🔥🔥
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
JIKO KUBWA LINAFUNGA MAKABATI
SIFA ZAKE👇
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
UMEME METER YAKO MAJI YANAFLOW NDANI NYUMBA IKO SEMU NZURI
HAINA FENCE
USALAMA KAMA LUGALO
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 7 KWA MGUU
KODI 280,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
LOCATION: KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROAD KM 2 USAFIRI 24HRS BAJAJI SH.500
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp