Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Magengeni, Mtwara


28/4/2025
Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea
Kodi 600000 kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 vyote master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme Ipo ndani ya fence
Location boko magengeni burumawe karibu na chuo cha st Joseph university of health and allied science
Piga simu O745010009 au 0742707023