Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
NYUMBA INAPANGISHWA
MAHALI. ILAZO ,INATAZAMA LAMI
VYUMBA NNE ,VITATU MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
STOO
INAFAA KWA OFISI NA MAKAZI PIA
IPO PEKE YAKE KWENYE FENSI
UMEME NA MAJI YAPO
BEI .1000000MWEZ ,KWA MAKAZ
KWA OFISI. 1500000MWEZ
MALIPO NI MIEZ 6
MALIPO YA DALALI YATALIPWA NA MPANGAJI
MALIPO YA KWENDA SITE. 10000
MAWASILIANO
O627117471
0714147771