Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


INAPANGISHWA CLASSIC (ZIPO MBILI KWENYE FENCE)
MAHALI: KISASA📌
-----------------------------
MUUNDO WA NYUMBA
⏭️VYUMBA 3 VYA KULALA
⏭️VIWULI MASTA
⏭️SEBULE
⏭️JIKO
⏭️PUBLIC TOILET
-----------------------------
HUDUMA
⏭️UMEME UPO HUSHEI
⏭️MAJI YAPO
⏭️FENSI
⏭️WATER RESERVE TANKS
⏭️PAVEMENT
-----------------------------
⏭️KODI NI 600000@MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
⏭️PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA
------------------------------
⏭️GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
☎️ 0657122976------WHATSAPP/CALLS
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA