Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa ipo mbagala chamazi kwamagimba bei laki 5 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, room moja ni master bedroom, jiko, public toilet ipo, store, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, paving blocks chini zpo, garden ipo, fensi ya parking ipo pia, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, ni stand alone house. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 6 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.