Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea, Nyumba IPO mbagala maji matitu location shule ya secondary. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, fensi pia IPO ya parking, paving blocks chini zpo, security wiring juu ipo na garden ipo uwani. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0719250426 au pga 0688559385.