Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI DAKIKA 5 TUU KWA MGUU
KODI 750,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA DINNING
NA KILA CHUMBA KINA AC NA MAFENI
SEBULENI PIA KUNA AC NA MAFENI
NDANI YA FENS PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
NA SEHEMU YA KUPUMZIKIA KULA NYAMA CHOMA
INA CCTV CAMERA
ELECTRIC FENCE SECURITY
MATENK YA MAJI MAWILI YA LITA 5000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
Piga cm 0677370515