Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿HOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
.
NYUMBA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MALAMBA KITUO KWA HAKIM
.
KODI NI 500,000 × 6
.
SIFA ZAKE
=========
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI STOO NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp