Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mjini, Ruvuma


*Nauza Nyumba Mpya Dodoma Mjini Karibu Kabisa Na Chuo Kikuu Cha UDOM,*
📍Ukubwa Wa Uwanja Square Meter 650+
MUUNDO : Vyumba Vitatu Vyote Masters - Vyote Vinawapangaji - Kodi Ni 110,000 Kwa Kila Chumba.
📍Maji - 24 Hours - Yana Flow Hadi Ndani.
📍Umeme Wa Kujitegemea Kila Chumba
📍Vyumba Vikubwa Na Vya Kisasa
📍Fensi Kubwa Na Geti La Kisasa
Eneo Limebaki Kubwa La Kujenga Vyumba Zaidi Ya Kumi (10)
📍 Fully Documents
Lipia Million 60 , Unufaike Wewe Na Kizazi Chako Chote , Eneo Ni Potential Sana 🔥🔥🔥🏃♂️