Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Salama, Mara


NYUMBA 2 KWENYE FENSI MOJA ZINAPANGISHWA β BEI TSH 900,000
Fursa nzuri ya makazi tulivu kwenye nyumba za kisasa zilizo ndani ya fensi moja, mita chache tu kutoka barabara kuu!
π Mahali: Umbali wa mita 300 kutoka lami
π Kila nyumba ina:
β’ Vyumba 3 (2 ni master)
β’ Sebule
β’ Jiko
β’ Stoo
β’ Dining
β’ Public toilet
π§± Nyumba zipo mbili ndani ya fensi moja
π§ Maji yapo
β
Mandhari tulivu na salama
π° Kodi: TSh 900,000 kwa mwezi
π Malipo: Kuanzia miezi 6
π Wasiliana:#0758998074π
#0689138795whatsapp
#NyumbaInapangishwa #MakaziBora #RealEstateTZ #UdalaliWaUhakika #NyumbaMbili #FensiMoja