Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location: external ubungo
Umbali dakika 3 kwa mguu gari ya chini barabara rafiki sana
SIFA ZAKE
-vyumba vitatu vya kulala
- Sebule jiko na choo ndani kimoja master
-
Umeme LUKU inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Nyumba inashea watatu ndani ya fence
Panking kubwa
KODI YAKE Tsh. 550000 / malipo miezi sita
Service Charge 20,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Dalali Makini Ubungo Riverside