Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA STEND KM2 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Fence ina jengwa
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐