Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
:
๐๐ฎ๐ช๐ข๐๐ ๐๐ช๐๐ฌ๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #๐๐ฉ๐๐ฃ๐_๐ผ๐ก๐ค๐ฃ๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA SHULE
Usafiri Bajaj 700 Zipo Riverside Ukishuka Unatembea Kwa Mguu Dakika 4 Unaingia Ndani na Barabara ni Nzuri
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Dining
โข Vyumba VITATU na Kimoja Wapo ni Master
โข Jiko Kubwa lenye Makabati
โข Choo Kizuri Ndani
โข Stoo
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo na UMEME LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- Malipo ni Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp