Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA 450,000Tsh
📍UKONGA
💰 450,000Tsh X MIEZI 4+
🕐 DK 7 KUTOKA LAMI
✅️MALIPO YA MIEZI 4 KUENDELEA
✔️SEBULE KUBWA
✔️DINNING ROOM
✔️VYUMBA VITATU #MASTA MBILI
✔️JIKO PAMOJA NA STOO
✔️CHOO CHA PUBLIC
✔️KISIMA CHA MAJI
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337