Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buzuruga, Mwanza
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA BUZURUGA - TMDA
-ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x15
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 37
-panafaa kwa kujenga fremu za maduka, apartment, gesti
NB:-
-nyumba imetazama barabara kubwa ya mtaa
☎️ 0743220097