Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA
π Chamazi, Temeke - Dar es Salaam
 BEI: Milioni 80
π Simu/WhatsApp: +255 686 705 903 
ββββββββββββββ
 SIFA ZA NYUMBA:
β
 Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master Bedroom)
β
 Sebule kubwa ya kisasa
β
 Jiko la kisasa lenye nafasi ya kutosha
β
 Choo cha wageni (Public Toilet)
β
 Umeme na maji vipo
β
 Dakika chache tu kutoka barabara kuu
β
 Eneo ni tulivu, salama, na rafiki kwa familia
β
 Nyumba ni mpya, haijawahi kukaliwa
β
 Imezungushiwa Electric Fence. 
β
Ukubwa wa ni Sqm 400. 
βββββββββββββ
π² Wasiliana Nasi Sasa:
Simu/WhatsApp: +255 686 705 903



















