Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana inauzwa:
Nyumba ipo barabara ya mtaa na mtaa ni mzuri sana
Nyumba inavyumba vitatu vyote masterbedroom,
Dirning sitting jiko stoo public toilet maji dawasco na COTER cha mlinzi kwa nje,
Eneo- sqm 7000
Imepimwa na hati miliki toka wizara ya ardh,
Bei-ml 350 maongez
Location-GOBA OSTARBEY
Umbali-MITA 100toka.lami
Karibuni. Wasaliana Nas kwa no*#0652407997📲📲🇹🇿🇹🇿🇹🇿whatsp0767427997