Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
Pagale zuri sana la kisasa linauzwa bei ya kutupa:
Mwenyewe amekwama sana anadaiwa
Lipo mtaa mzuri nani barabara kubwa ya mtaa
Lina room 3 masta 1
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo-sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 28 maongezi
Location- goba road njia panda ya makabe
Umbali-km 1 kutoka main road
Karibuni 0782428327