Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BEI YA KUTUPA
MAHALI- GOBA KINZUDI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 1000
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI SAFI
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Master, Ac Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 240
Maongezi yapo
__
0745559598