Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Pagala linauzwa.lipo njia ya goba kituo nash park
Umbali kutoka lami ni km Moja
Pagala lipo kwenye eneo lenye Ukubwa wa square meters 900
Muundo: vyumba vitatu vya kulala kimoja master, seble, dinning, jiko na toilet public
Bei milioni 70 maongezi yapo
Piga 0719190753