Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
.
Nyumba inauzwa GOBA KWA ROBERT
Ina vyumba vitatu, ambapo viwili vina choo ndani
Sebule
Dinning room
Jiko
Plot size: 400 Sqrm
Umiliki: Mauziano ya serikali za mitaa, kiwanja kimepimwa tiyari hati itatoka kwa jina la mteja atakayenunua.
Bei 45M Tzs
Viewing fee 50,000/= Tzs
Piga: 0769138053