Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA GOBA LASTANZA WITH TITLE DEED KUTOKA WIZARANI
NYUMBA INA UKUBWA WA SQMT 667
UMILIKI:HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI [TITLE DEED]
#NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA NA JIKO NA PUBLIC TOILET
BEI NI 87M TU #MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
KIWANJA KINAFIKIA VIZURI SANAA BIRA SHIDA YOYOTE ILE
SERVICE CHARGE NI TZS 50,000/=
0713661530_0783661530