Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Iyumbu, Dodoma


PAGALE LINAUZWA IYUMBU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa 817 sq.m
Ina vyumba vitatu
Master bedroom
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Ipo jirani na Iyumbu Secondary
Bei ni Tshs. 55,000,000/= ( milioni hamsini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"