Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam





NYUMBA (UNFINISHED) PAGALE ZURI SANA LINAUZWA BINAFSI
LIPO KIBAMBA HOSPITAL DAR ES SALAAM TANZANIA..
ENEO ZURI SANA PANAFIKIKA VIZURI SANA
PLOT SIZE : SQM 400 APPROX
PRICE : MIL 23
UMILIKI : MKATABA WA MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
SIFA ZAKE-:
-VYUMBA VITATU VYA KULALA, KIMOJA SELF
-SEBULE
-DINNING
-JIKO NA STORE
-CHOO CHA PUBLIC
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELFU 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI
0746 433 854