Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA,VYUMBA 3,TSHS.28 MILIONI, MPIJI-MAGOE,
NG'AMBO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa kuna njia mbili unaweza kupitua DARAJA LA JESHI (Kupitia KIBAMBA CHAMA)
Au tena kupitia MPIJI MWISHO na Kisha kuvuka Mto.
Nyumba Ina vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba inaangali Barabara kubwa na Kiwanja kina nafasi unaweza kujenga nyumba nyingine karhaa au kuweka Maduka ya Biashara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
____________mpg