Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa kigamboni kisiwani#Kwamkorea
SIFA;,, Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining,jiko&publictoilet
Pia nyumba kwa nje ina flem nne kwaajili ya biashara
***Ukubwa wa eneo lake ni #Sqm350
Pamepimwa na panahati kamali ya wizara.
Bei;,, Million 130 maongezi yapo.
Umbali kutoka ferry ni km7 na kutoka lami ni mita300 tu.
Nipigie kwa maelezo zaidi na mahitaji kupita namba, 0656775637 0755489848