Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
ENEO LINAUZWA KIMARA TEMBONI
LIMESHUKA BEI KWA SASA
NI. MILIONI. 200
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10 KWA MGUU
======
UKUBWA WA ENEO NI
SQMT 2070//
ENEO LIMEPIMWA LINA HATI MILIKI
======
SIFA ZA ENEO
KUNA NYUMBA MBILI NDANI YA ENEO
1)
NYUMBA KUBWA SANA YENYE RAMANI YA KISASA
INA VYUMBA SITA VITATU NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
BADO KUPAUA TUU
======
2)
VYUMBA VIWILI NA SEBULE CHOO NNJE NA JIKO
UMEME NA MAJI DAWASA VIPO
======
NIPAZURI SANA NDUGU MTEJA
KWA KUJENGA APATIMENTI
GESTI AU KUISHI MWENYEWE
=====
BEI. MILIONI. 200
MAONGEZI YAPO FIKA SAITI
====
KUONA ENEO NI 30,000/=
=====
CONT
0683234124
0718367179