Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KIMARA DARAJANI
SWIPE KUONA VIDEO YA NDANI,
MITA CHACHE KUTOKA LAMI, ( mwendokasi)
Vyumba 3 vya kulala, 1master
sebule kubwa
jiko
dining
stoo
public toilet,
ndani ya fensi,
total area, SQM 700,
bei 195m, maongezi yapo,
0745559598,
njoo inbox nikuunganishe na mwenyew