Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA UDOM JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 650 sq.m
Ina vyumba vitatu
Master bedroom zote
Ipo ndani ya fensi
Maji/Umeme upo
Ipo jirani na chuo
Bei ni Tshs. 60,000,000/= ( milioni sitini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"