Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Ndugu yngu Njoo uone hii nyumba mwenyewe ana shida sana ame shusha bei Kutoka million 75
Mpaka million 59 tu
Ana itaji pesa kwa araka sana
Nyumba ipo mbagala chamaz kwa mapunda jiji la dar es Salam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa msufini
Ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina public toylety ina maji na umeme upo wa luku
Nyumba kaijenga vzuri sana ina fence na maji yapo ina umeme gari zina ingia ndani kama 3 ivi ndogo
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 5 tu
Njoo site ukague Ndugu yngu kwa bei nzuri sana 59 tu million
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nicheki inbox
Usichelewe kuja kuiyona madalali wengi kasha watangazia Leo kama kashusha bei
Kwaiyo jitaidi ufike kwa alaka sana
CALL 0673601114 WHATSAPP
CALL 0694518132