Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba yenye mafrem manne pamoja na eneo kubwa ina uzwa tsh million 90
Nyumba ipo mbagala rang 3 kokoto nyumba ipo jilani kabisa na bara bara kuu ya lami ya mbagala rang 3 mtaa wa kokoto
Nyumba nzuri sana ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba eneo kubwa square miter 900 ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba ya biashara hii si mchezo
Nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143