Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba kalli sana ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es Salam wilaya ya temeke Nyumba nzuri bei ina uzwa tsh mil 58 tu
Ina eneo kubwa square mitar 400
Ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vipo vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na daining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku
Njoo uiyone tumalize biashara faster hii si ya kuikosa kabisa Nyumba ipo kalibu sana na kituo cha dala dala
Nyumba ina fence gari ndogo 2 zina ingia ndani
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp 0759203175. 0652618143. 0753385044