Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F242b9b86-4a3e-4cac-848d-f0e8653747ee.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F242b9b86-4a3e-4cac-848d-f0e8653747ee.jpg&w=256&q=75)
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi location uwanja wa azam complex, bei milioni 55 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo yapo, fensi ya parking ipo, umeme unawaka, maji yapo yanatoka kuanzia jikoni hadi vyooni, na paving blocks chini zpo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.