Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA
NYUMBA HII YA KUUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE NI UPANA NI 20 METERS NA UREFU NI 20 METERS
DOCUMENTS: MAUZIANO HALALI YA KISHERIA NA SERIKALI YA MTAA / ENEO LIMEPIMWA
BEI NI MILIONI 50 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
NYUMBA HII YA KUUZWA IPO MBEZI BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NJIA INAYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 TUU UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
CALL 0746 433 854