Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam





#NYUMBA INAUZWA MBEZI KIFURU KWA UNJU
BEI: MILLION 65
➡️INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
MASTER
➡️SEBLE NA DINNING ROOM
➡️JIKO ZURI
➡️ PUBLIC TOILET
➡️IPO NDANI YA FENCE NA GETI
➡️ PARKING YA GARI NDOGO MOJA TU.
➡️ UMILIKI: DOCUMENTS ZA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA.
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347