Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mwera, Tanga
NYUMBA INAUZWA MWERA
#unguja #zanzibar
Kutoka nyumba ilipo mpaka Barabarani 900 Mita
Vyumba 3 (Master 1) Ukumbi, Dining Room, Jiko, Stoo, Public Toilet
Mlango wa duka ambayo ujenzi wake haujakamilika
Fensi
Maji
Ukubwa wa Kiwanja Ft 70x50
Bei Tsh 43,000,000/= Milioni arobaini na tatu
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote