Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ruvuma




SHAMBA LA MPUNGA EKARI 130, TSHS.150 MILIONI,
MADABA, RUVUMA.
Hili Shamba lipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara kuu ya NJOMBE/SONGEA.
Udongo wenye Rutuba.
Kizuri zaidi lipo upande wa Bonde zuri.
Zao la Mpunga linastawi na linamea vizuri sana hapa.
Ndani ya Shamba kuna Ghala la kuhifadhi Mazao.
Na nyumba ya Wafanyakazi yenye vyumba 3..
Umiliki ni HATI YA KIMILA.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tsh.300,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.