Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ruvuma


*SHAMBA LA EKARI 130 LA MPUNGA LINAUZWA MADABA, RUVUMA*
*Distance* Barabara kuu ya Njombe - Songea na kuingia ndani ya shamba 300 Meter kutoka lami
*Shamba lina bonde zuri kwa zao la MPUNGA.*
-Ndani ya shamba kuna ghala la Tani 400, Nyumba ya Vyumba Vitatu sebule na jiko Kwa ajili ya wafanyakazi wa shambani.
-Plot size Ekari 130
-Document: *Hati ya Kimila ipo kwenye (Ekari 65) zingine zimepimwa tu*
*Bei shilingi milioni 150 maongezi kidogo*