Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Vikindu, Pwani


NYUMBA INAUZWA
(sio jenga uza).
.
➖Bei tsh 75m
➖Nyumba Ipo Vikindu Vianzi mjini.
➖3km kutoka lami
Ukubwa kiwanja chake 700sqm.
➖Ina kisima, maji yake matamu
➖Ina frem 6 mbele
➖Nyumba inavyumba vitatu kimoja master.
.
Bei ya nyumba shillings million sabini na tano. (TSh 75m)
Tupigie /WhatsApp
0654 77 39 67
0752 744781
.
Chagile_real_estate_tz
Chagile_real_estate_tz
#yangasc #viwanjakigamboni #simbasc #bongo #viwanjatz #bongo