Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Amani, Tanga


VYUMBA VIWILI NDANI YA NYUMBA MOJA AMANI UWANJANI
#unguja #zanzibar
๐ถVyumba Viwili vyote single
โบ๏ธChoo Cha kushare
๐คธUkumbi mdogo unatumia peke yako
Nyumba ina mpangaji mmoja Family ya mke na mume
Kukutana mtakutana Jikoni na kwenye matumizi ya umeme ๐ฅด
Bei Tsh 170,000/- Laki Moja na elfu Sabini kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
Hii ni Bei ya vyumba vyote Vi-wili kwa Pamoja na Ukumbi wake
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake


















