Viwanja vinauzwa Amani, Tanga


TUKISEMA VIWANJA VIMEPIMWA, TUNAANISHA HIKI: ๐ฅ
โ
Kiwanja kiko kwenye ramani ya mipango miji
โ
Kimepimwa rasmi na ramani ya upimaji ipo
โ
Hakuna mgogoro, mipaka iko wazi
โ
Hati miliki ya Wizara inapatiwa mnunuzi
Hapa hununui maneno โ unanunua uhakika.
Ndiyo maana wateja wanakuja site na wanaondoka wakiwa na amani moyoni.
๐ Kimbiji Ngobanya
๐ฐ 20,000/= kwa sqm (Cash)
๐ฐ 22,000/= kwa sqm (Installment)
๐ฃ Mita 800 tu kutoka barabara kuu
๐ +255 653 988 825
๐ธ oneroof_real_estate_company



















