Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENTS MPYA KABİSAAA YA KİFAMİLİA İNAPANGİSHWA
📍GOBA NJİA NNE - MADALE ROAD MİTA 500 TOKA LAMİ
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko ( LİNAFUNGWA MAKABATİ)
Public Toilet
Ac Sebuleni na Masterbedroom
Heater
Hapa mpo 5 tu
Parking
Maji na Umeme mita yako
__
Kodi 600,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
👇👇👇
NOTE: HAPA HAPA PİA KUNA YA Tsh. 700,000
TOFAUTİ YAKE Nİ UKUBWA WA NYUMBA
0692406639
_______________
PİGA SİMU