Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F657a053f-3f57-4e63-8dff-b4d885582608.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F657a053f-3f57-4e63-8dff-b4d885582608.jpg&w=256&q=75)
Vyumba Viwili,Sebule na jiko - Tsh 500,000 kwa Mwezi
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master
• Sebule kubwa
• Jiko la kisasa
• Umeme na maji vinajitegemea
• Eneo la maegesho (parking) linapatikana
• Nyumba ipo umbali wa dakika 5 hadi 7 kutoka barabara kuu
Gharama:
• Kodi ya kila mwezi: Tsh 500,000
• Malipo ya awali: Miezi 3
• Location: Goba kwa Robert
Huduma Nyingine:
• Service charge: Tsh 20,000 (hulipwa mara moja hadi utakapo pata nyumba mpya)
• Ada ya dalali: Sawa na kodi ya mwezi mmoja
Mawasiliano Zaidi:
WhatsApp/piga simu: +255677370515