Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Inapangishwa:
Location :: GOBA NJIA YA MADALE
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
Kwa muhitaji piga simu
0652 251725