Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa:
Location :: Goba road njia panda ya makabe
Bei yake :: 300,000Tsh kwa mwezi (Miezi 3)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (kimoja ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️umeme na Maji unajitegemea
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0782428327