Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA GOBA CENTRE (Jirani na lami)
______
YENYE:-
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public #Gypsum
Slide window
Heater ya maji moto maji baridi
Garden safi
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi 900,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 9
---------
CONTACT
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏