Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha


#0625606710
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA