Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha


𝗙𝗢𝗥 𝗦𝗔𝗟𝗘 440,000,000/= 💥𝗝𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔
BANGALOO KUBWA ZURI 𝗟𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 LINAUZWA MILIONI MIA NNE NA AROBAINI (440,000,000/= ) MILION MAONGEZI YAPO
💥 NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- 𝗦𝗤𝗨𝗔𝗥𝗘 𝗠𝗘𝗧𝗘𝗥 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 440M MAONGEZI YAPO
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300